Job 13:7-8

7 aJe, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu?
Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake?
8 bMtamwonyesha upendeleo?
Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?
Copyright information for SwhNEN